ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
mwana umeongea la maana sana na tena la mbolea kabisa
huko ndiko kipimo hasa cha ukomavu wa tabia ya mtu. akimaliza pale hajawahi kugawa basi huyo tunasema ameiva.
otherwise kila mahali kuna changamoto zake..ni uvumilivu tu. yaani utamtoa JKT utamrudisha kitaa akiwa anasubiri chuo washikaji wanajipigia tu. akienda chuo kuna malecturer mabazazi vilevile. kama hana msimamo atamegwa kila anapoenda.