Yaliyojiri European Champions League : Tottenham 0 - Ajax 1 (Semi Finals First Leg)

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Wakuu game hii naona itakuwa kali kuliko hata gemu ya kesho .

Vikosi ivyo
20190430_091006.jpeg
20190430_091017.jpeg


Live Reporting

Dakika ya 10" Spurs 0 - Ajax 0

Dakika ya 15" Ajax wanapata goli kupitia kwa Donny Van De Beek

Dakika ya 20" Spurs 0 - Ajax 1 (Van De Beek)

Dakika ya 25" Ball Possession Spurs 30 - Ajax 70

Dakika ya 30" Spurs 0 - Ajax 1 ( Donny Van De Beek)

Dakika ya 31" Yellow card Nicolas Tagliafico (Ajax)

Dakika 40" Subsitution Vertonghen ametoka baada ya kuumia ameingia Sisoko

Half Time: Spurs 0 - Ajax 1 ( Donny Van De Beek)

Ball Possession: Spurs 41 - Ajax 59

Second Half: Spurs 0 - Ajax 1

Dakika 47" Spurs wamekuja moto kipindi cha pili, wanashambulia kwa nguvu

Dakika ya 50" Spurs 0 - Ajax 1 ( Donny Van De Beek)

Dakika ya 57" Spurs wanapata nafasi nzuri ya kusawazisha lakini Dele Alli anapiga kichwa kinatoka nje

Dakika ya 65" Substitution Lasse Schone anatoka anaingia Mazraoui

Dakika ya 72" Spurs 0 - Ajax 1 (Donny Van De Beek)

Dakika ya 79" Ajax wanagongesha mwamba, Dadid Neres anapiga shuti lakini mpira unagonga mwamba ilikuwa nafasi nzuri sana ya kujipatia bao la pili

Dakika ya 80 Substitution: Danny Rose na Kieran Trippier (Spurs) wanatoka na nafasi zao wanaingia Ben Davies na Juan Foyth

Dakika ya 85" Spurs 0 - Ajax 1 (Donny Van De Beek)

Dakika ya 87" Substitution: Klaas Jan Huntelaar (Ajax) anaingia anatoka Hakim Ziyech

Dakika ya 89" Spurs 0 - Ajax 1 (Donny Van De Beek)

Zimeongezwa dakika 3"

Full Time: Tottenham 0 - Ajax 1

Tukutane kwenye mechi ya marudiano jijini Amsterdam
 
Spurs without Kane n Son. Dah watakuwa butu. Kwa aina ya mchezo wanaocheza Ajax sioni ni kwa namna gani watatoka leo.

Hii game inaisha leo leo. Ajax ni moja kati ya timu inayofunga magoli mengi sana. Hii game ina zaidi ya goals 3.

FT Spurs 1-3 Ajax
 
Mashabiki wa Man City karibuni nyote huku tumuombee njaa mbaya wetu Tottenham Hotspur ili naye ayaonje machungu ya kufungwa kama sisi Man City tulivyofungwa na Tottenham Hotspur
 
Spurs without Kane n Son. Dah watakuwa butu. Kwa aina ya mchezo wanaocheza Ajax sioni ni kwa namna gani watatoka leo.

Hii game inaisha leo leo. Ajax ni moja kati ya timu inayofunga magoli mengi sana. Hii game ina zaidi ya goals 3.

FT Spurs 1-3 Ajax
Nimekuelewa vzr sana Chifu, Son ni majeruhi naye
 


Gem ya Tot vs ajax
 


Gem ya Tot vs ajax
Salute mkuu....
 
Back
Top Bottom