Yaliyojiri Bungeni leo tarehe 16 Mei 2015

Yaliyojiri Bungeni leo tarehe 16 Mei 2015

Akihitimisha hoja ya bajeti ya OWM leo bungeni mh. Waziri Mkuu amesema mfumko wa bei ni njia sahihi ya kukuza na kuelekea kwenye uchumi ulio imara wa nchi.jamani wataalamu wa uchumi híi nadharia ya PM Ni sahihi? Source TBC 1.

Mfumuko wa bei unawakimbiza wawekezaji sababu ya kutotabirika uchumi wetu, unawaumiza sana wazee wetu wastaafu kwa kuwekewa makadirio wakati uchumi ulikuwa imara na kupata pesa hizo hizo bila marekebisho, mfumuko wa bei unawaumiza wananchi wengi wanaodunduliza pesa zao, utunzaji wa pesa kwa miaka mitano unaweza usifikie malengo yako uliojiwekea muda wa kutimiza mipango yako ukifika na hata ukiamua kutumia akaunti ya kutumia riba, manufaa yanaweza yasiwe makubwa kwani kiwango cha mfumuko wa bei kinaweza karibiana na kiwango cha riba unachopata.
 
Afadhali amekuwa mkweli. Kwamba hajui kwa sababu yoyote ile, lakini hakutaka kudanganya kama yule mama wa Fedha Saada Mkuya!. Mwongo hadi kaburini.
 
eti wanasema wanataka kufanyiwa service. gari likiwa bovu lazima lisimame lisifanye kazi za kusafirisha abiria ili kuwepo usalama wa raia. kwa hiyo kibajaji na ma escrow wengine lazima wapumzike ili kuokoa maisha ya watanzania maskini
 
Leo kashindwa kujibu swali la mh.jaffo na kuomba muda atafute majibu.kweli hii serkali imejaza vilaza.

Mi namwona wa maana zaidi kuliko wale wanaomua kumwaga pumba bila kujali matokeo yake.
 
Afadhali yeye amekiri kuliko lile jamaa la kura ya maoni ya mwezi April. Liswahiliiii, liongoooo!!!!
 
Mkosamali Alisema (angalia picha)



Ongeza Na wewe.. Kauli yako....
 

Attachments

  • 1431802084434.jpg
    1431802084434.jpg
    43.8 KB · Views: 150
  • 1431802381095.jpg
    1431802381095.jpg
    15.4 KB · Views: 137
  • 1431802400547.jpg
    1431802400547.jpg
    20.8 KB · Views: 138
Wewe tangu umeaguka kwa kupanda maafisi ya bibi yako kwenye uchawi wenu unadhani kila kitu kipo hivyo,

mbona ajali za ndege zinatokea pote duniani tena zingine zimepotea milele kwenye mataifa makubwa kabisa,

Nani hajui kuwa ajali za ndege zimetokea kwenye mataifa kama marekani,ujerumani nk.
 
Muda si mrefu CCM nayo itaangukia pua kama ACT au ATC inavyoanguka!
 
chadema kwa kujifariji kama fisi alioiona ngozi kweli hawa ndio panya road
 
Back
Top Bottom