Mtoa mada usisahau ikifika kile kipindi kinachochukiwa sana na viongozi wetu hasa waserikali,na yule dada yetu msaidizi,hasa baada ya kukaribisha wageni.Waheshimiwa wakisimama tu kuomba miongozo basi ghafla TV zote zinazima inaanza TBC1,STAR TV and the alike,wanachoogopa sijui ninini? utuelezee na miongozo iliyotolewa aliyetoa muongozo,muongozo unatakaje,nani kautoa,amejibiwa na nani,taarifa ngapi waliotoa,amejibiwaje na kama waliruhusiwa kutoa miongozo yao kwa mujibu wa kanuni ya 68 au ya 64 kanuni za Bunge.siyo hayo maswali walioandikiwa na kukaa nayo wiki nzima wakikariri na kujiandaa kuyajibu.....