chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Ninasikitika kwamba jimbo la kigoma mjini chadema watashinda..... Hii imetokana na utafiti uliofanywa na Gft....
Imeoneshwa kwamba jimbo hilo siasa zinaendeshwa kidini... Hapa namaanisha kwamba kura za Kaburu (ccm) ambaye ni mwislam na ndugu yangu Zitto hazitaongezeka.... Zinabeba zaidi kura za mwandiga na Ujiji....
Sasa kuna huyu anayeitwa Daniel ...Mwanasheria... Anaonekana kuungwa mkono na wana chadema...wana ccm...na wasio kuwa na vyama...huyu ndiye atakaye kuwa mbunge wa kigoma mjini
Zitto jambo linalomghalimu ni ile hali ya kuhama jimbo ...zitto hasemi ni kwa nini amehama jimbo lake la kale....
Tusubiri
Sasa mafuriko hayo unaweza kufananisha na Yale ya Edo the boss???
Kwa spidi hii nadhani huko Kigoma UKAWA hawana chao
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Bila unafiki ACT kimeanza vizuri kuliko vyama vikubwa vya sasa. Tuwe tunakumbuka kurejea historia ili kujua tunapokwenda.
Ninasikitika kwamba jimbo la kigoma mjini chadema watashinda..... Hii imetokana na utafiti uliofanywa na Gft....
Imeoneshwa kwamba jimbo hilo siasa zinaendeshwa kidini... Hapa namaanisha kwamba kura za Kaburu (ccm) ambaye ni mwislam na ndugu yangu Zitto hazitaongezeka.... Zinabeba zaidi kura za mwandiga na Ujiji....
Sasa kuna huyu anayeitwa Daniel ...Mwanasheria... Anaonekana kuungwa mkono na wana chadema...wana ccm...na wasio kuwa na vyama...huyu ndiye atakaye kuwa mbunge wa kigoma mjini
Zitto jambo linalomghalimu ni ile hali ya kuhama jimbo ...zitto hasemi ni kwa nini amehama jimbo lake la kale....
Tusubiri
Tutagawana pasu kwa pasu na ACTNa ccm je?
Hao wagombea wote wanapokea mshahara ccm wapo kwa ajili ya kupunguza kura za ukawa nawaambia hv watu wameamka jamani
najiuliza tu chama kisicho na ruzuku ..............................
najiuliza tu chama kisicho na ruzuku ..............................
Ninasikitika kwamba jimbo la kigoma mjini chadema watashinda..... Hii imetokana na utafiti uliofanywa na Gft....
Imeoneshwa kwamba jimbo hilo siasa zinaendeshwa kidini... Hapa namaanisha kwamba kura za Kaburu (ccm) ambaye ni mwislam na ndugu yangu Zitto hazitaongezeka.... Zinabeba zaidi kura za mwandiga na Ujiji....
Sasa kuna huyu anayeitwa Daniel ...Mwanasheria... Anaonekana kuungwa mkono na wana chadema...wana ccm...na wasio kuwa na vyama...huyu ndiye atakaye kuwa mbunge wa kigoma mjini
Zitto jambo linalomghalimu ni ile hali ya kuhama jimbo ...zitto hasemi ni kwa nini amehama jimbo lake la kale....
Tusubiri
Zitto ww ni mwanasiasa. Ww si kamanda bali jemedari. Keep it up. Ipo siku naamini Ikulu itakuhusu. I will join you sooon.
Kigoma mjini pagumu ukijua hilo itakusaidia kwa sababu hata Zitto hana uhakika he is very frustratedSo useme tu imeifanyia research yako Machame?kwa Kigoma Zitto ni Mwami,kati ya majimbo ambayo mshindi anajulikana ni Kigoma Mjini
kwa kwa ushabiki kiazi huo sasa ukikataa maandazi basi unona bora uwe shabiki kiazi zitto anatuhela twa CCM sasaNa mimi nitamjoin huyu jamaa sina ushabiki maandazi wa siasa ila nitakuwa kwa Zitto