Unajua hommie, watu walikuwa wanafanya masihara nilivokuwa nawaambia maswahibu yaliyomkumba huyu kijana wetu. Thanks God he is back! Vipi pale kwa ankal unaweza kufanya the needful kijana akawekewa kongoro la kitimoto na nguli moja kubwa la baridi?Duh..afadhali..Preta hebu do ze nidiful, fanya utaratibu wa kongoro bomba apo na ndimu na pilipili, angala kwanza apate nguvu
mafuriko siyo mchezo!
Duh..afadhali..Preta hebu do ze nidiful, fanya utaratibu wa kongoro bomba apo na ndimu na pilipili, angala kwanza apate nguvu
mafuriko siyo mchezo!
nimeshaandaa mpango mzima...mida mida hivi atalipata...vipi niweke na kachumbari?
Wajameni mafuriko nusura yachomoe uhai wangu. Shukrani kwa wote mlionisaidia akiwepo JS ambaye amekuwa karibu yangu sana na kunikarimu mambo mengi kipindi hichi kigumu. Nashukuru kwa Kongoro za Geof na Fidel zimenipa nguvu. Chrispin ndio aliyekuja kunichukua na stout yake kutoka Kilosa.
Nimerudi jijini nitoe msaada kama shukrani za kunusurika sasa nimeota manyoa uso mzima see atached photo as evidence.
Nilitegemea sms kutoka kwa Kloroquin na Burn lakini sikupata hata beep/missed call.
Wajameni mimi nipo nikimalizana na haya matatizo nitarudi rasmi. Shukrani wote kwa kunikumbuka. Tupo pamoja.
Nachokupendea bwashee, kwenye suala la menyu hauna masihara!karibu sana!tukutane na leo basi pale manzese KWA MJAPANI tukamate kongoro la kitimoto
nimeshaandaa mpango mzima...mida mida hivi atalipata...vipi niweke na kachumbari?
Siku nyingine usiwe kama Tomaso Kiongozi!Pole Nguli kweli mimi nilisoma uumbe wa Crispin nikaona anatutania..Pole sana mkuu!
na karibu tena nyumbani ujisikie uko sebuleni...
Tomaso huyu hapa!Utani mwingine bana......yakikukuta kweli........