CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,469
Kama una picha weka hapa mkuu ili tuyakumbuke,siyakumbuki kabisa hayo!Kuna yale madogo yakufunikia soap dish ukiwa unampelekea mume maji ya kuoga bafuni.
Kweli wewe wa TangaKuna yale madogo yakufunikia soap dish ukiwa unampelekea mume maji ya kuoga bafuni.
Mkuu umenikumbusha wimbo fulani hivi waliimba wakisema;Kweli wewe wa Tanga
Kawa, zilitumika kufunikia chakula mezani.
Biti Kambi (Mungu amrehemu) kawa lake lilikua linasema "Cha mtu mavi".
Mama akanitafsria hiyo inamaanisha ukiazima urudishe.
Pazia za Mlangoni kwny Nyumba ya kupanga Jirani yangu aliandika ' Maneno yenu si Mkuki msemayo sistuki ' Huyu Mdada alikuwa Kama shimo la Mchezo wa Mdako kila apendae anatumbukiza Mkono akawa anajihami kwa mipasho hiyo
Chezimba Band.Mkuu umenikumbusha wimbo fulani hivi waliimba wakisema;
"Wanawake wa kitanga,ukipenda utatangatanga,hata maji ya kuoga hupakwa na kwa hiliki,mdalasini,uaridi,na karafuu,sikia mambo,kama huamini nenda Mombasa au unguja×2"
Kitambo sana,sijui ni bendi gani iliimba huu wimbo kwa anayeukumbuka.
HAYAPATIKANI SUKUHIZI
Chezimba band hao walioimba huo wimbo mkuuMkuu umenikumbusha wimbo fulani hivi waliimba wakisema;
"Wanawake wa kitanga,ukipenda utatangatanga,hata maji ya kuoga hupakwa na kwa hiliki,mdalasini,uaridi,na karafuu,sikia mambo,kama huamini nenda Mombasa au unguja×2"
Kitambo sana,sijui ni bendi gani iliimba huu wimbo kwa anayeukumbuka.
Imekaa bien mkuu iyo