Yalionikuta mtaani sina hamu

Ukikubali tu,,,,,

Wafwaaaaaaaaaaaahhh!!!!!
 
Watu wengine mnauwezo mzuri wa kutunga story kwaini usitumie hiyo fursa kuwauzia wasanii wa bongo movie?
 
MMU siku hizi kuna habari za uongo wa kutisha ehehehhhe
 
Mkuu
Naamini stori yako, ndio mambo ya pwani, iliwahi kunitokezea ni similar story, lakini kuuvua huu mtego nilimwambia hivi, mpenzi wangu wa zamani alikufa kwa ngoma, so nakuomba tukapime pamoja, peke yangu naogopa, mtoto alikalia mbali na alikataa kata kata, sasa nakushauri, mwambie huyo mama kuwa mpenzi wako kafa kwa ngoma, huyo binti atazinduka na utakuwa free.. Ispokuwa sema hujui afya yako
 
Kemea huu ujinga, mi mama ya pwani ni ya ovyo sana, tumeshuhudia mengi, ukicheza utasingiziwa mimba mchana kweupeee, kaa mbali hiyo ni sumu ya panya haionjwi
We umejuaje kama ni wa pwani ? Kwa magomeni wanaishi watu wa pwani pekee ?
Kwani anaumwa nini huyo binti au amekuona wewe ni jini mahaba hivyo umemkumba yeye??
Vpi hali ya kiuchumi katika familia zao wanajiweza au ndo vile sukuma wiki tu??
 
KUNA MTU ALISHAFANYIWA HIVYO SIKU ZA NYUMA,
AKAPATA KESI YA UBAKAJI.
OGOPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…