Yalionikuta mtaani sina hamu

Mkuu wakati unapembua maoni ya wadau toa taarifa polisi na kwa mwenyekiti wa mtaa
 
Asanteni kwa kunipatia ushauri nimefikiri leo niombe ruhusa kazini ili kesho nikatoe taarifa ofisi ya mtaa sababu ili sijambo la mzaa linaweza kunipotezea muda kweli nisipokua makini hata hapa ofisini wafanyakazi wenzangu wameniambia niache kupuuzia ili ni jambo ambalo linaitaji kulitolea taarifa katika mamlaka husika.
 
Fata ushauri wa kwenda polisi, ukizubaa kuna siku atakuvamia ndani kwako ajifanye anataka kupiga kelele umembaka, hapo ili muyamalize utaombwa kiasi flani cha hela ili yaishe, ila kama ulishawahi polisi issue itaisha haraka.
Good advice!!
 
Siku ukikagonga ako katoto ujue umetekwa mazima na hiyo familia utaihudumia mpk hela yako ya mwisho. Umenikumbuka nilikuwa na kademu kamemaliza form 4 Kinondoni kwa Manyanya miaka ya nyuma. Walahi sitakuja kurudia kucheza michezo ya kikubwa na watoto wa uswazi kaliniteka kale katoto sijawahi ona. Nimekuja kupata akili nasomesha mpk wadogo zake bahati kuna siku nilikafuma na njemba ndio akili ikakaa sawa
 
Aisee asante mkuu ingawa yanachekesha lakini inasikitisha.[emoji1]
 
Teh teh wamama wa uswahilini hao, ye na binti yake apo ni kitu kimoja
Ogopa sana mazoea na hao watu tena ungemkunjia sura huyo dada umechekewa na ww ukaona ndo kamejileta sio, mtego huo maisha magum haya wameona labda una kaz nzur
 
Ikawaje mkuu endelea
 
Ikawaje mkuu endelea
Hahaha ok mkuu ilibidi badae nimsamehe tu sababu alinicheat lakini kutokana na kuumwa ikabidi nimsamehe.
Lakini nikatafuta msichana mwingine sababu alisema hata nikiwa nao 10 poa tu as long as na yeye yumo na nampa nafasi.. So mpaka leo tunachat tunaongea fresh tu huu mwka wa 4. At least sa ivi ameamua kuniacha lakini bado tunawasiliana na anataka hivyo hata kama nimeamua kuachana nae lakini nisiache kupokea au kujibu text zake..
Yani sielewagi sijawahi kuona aina hii ya upendo aisee yani mtu anakucheat lakini ukimuacha anapata shida eti anakupenda sana, kweli gals hawajitambui wanataka nini aisee..
 
Mara yako ya mwisho kukamatwa na polisi ilikuwa lini???? Maana kama vile nakuona unahukumiwa miaka 5+5+5+5+5+5***30
 
Matokeo ya kidato cha nne bado eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…