Yalionikuta mtaani sina hamu

Asante mkuu.
 
Mimi Hapana Kuelewa yaani unamkubalia Mtoto wa Shule kuwa umekubali kuwa Mpenzi wake ila asubiri? wewe Ni Mwarabu? Mwanafunzi mpe makavu yake hapo hapo asikuzoee... tena ikiwezekana kaweke kinga Polisi hao wana nia mbaya na wewe...
 
Kuna ka wimbo kanasemaga usije mjini.! Mkuu umeshapangiwa ramani kilichobaki na kukamilisha mipango ya ndoa ya mkeka tuu..!
 
Hahah da pole kaka. Fanya uchunguzi wa kina. Wala usikimbie mtaa, mwanaume kabili tatizo hadi ulimalize
Weka mbinu na mikakati yako hakika utashangaa utakavyolimaliza hili suala.
 
Shauri yako utakuja kupewa kesi ya mauaji...ila wazaz wengine kama hao wangetakiwa kurudi shule pia maana akili yake na ya mwanae wa kidato cha 3 zinafanana
 
Na ukihama, huko utakakohamia, yakitokea kama hayo, UTAHAMA TENA?
 
Huyo mtoto ana mimba,mi namfahamu sasa we jidai kidume!
 
Mama kama huyu wala hawezi kamatwa kwa uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…