Yalionikuta mtaani sina hamu

Hadithi yako si mbaya sana,ila ukirekebisha baadhi ya kasoro utakuwa bonge moja la mtunzi wa hadithi hata Shigongo atakutafuta kwa tochi na hatokupata.
Ngoja yakukute nawe.
 
Kwani anaumwa nini huyo binti au amekuona wewe ni jini mahaba hivyo umemkumba yeye??
Vpi hali ya kiuchumi katika familia zao wanajiweza au ndo vile sukuma wiki tu??
Wako vzr kiasi maana wanaishi nyumba yao.
 
Kemea huu ujinga, mi mama ya pwani ni ya ovyo sana, tumeshuhudia mengi, ukicheza utasingiziwa mimba mchana kweupeee, kaa mbali hiyo ni sumu ya panya haionjwi
Asante mkuu kwa ushauri.
 
Mtu kuamini hizi hadithi zako kunahitaji awe na roho ngumu kama mbabe uchwara maana nawe unalazimisha wana jf tukuombee kwa Mungu.
Asante upeo wako ndipo ulipoishia kufikiri.
 
Asante mkuu kwa ushauri.
 
Nakuambia hao waswahili watakufungisha ndoa ya mkeka!!! Na ukikubali ujinga huo umekwisha nakufunga miaka 30 umebaka.
 
Katoe taarifa polisi kuna mama anataka kumuozesha binti yake wa kidato cha tatu. Hapo nakuambia utapata zawadi toka kwa Ndalichako, Tamwa, Waziri Ummy, n.k.
 
Katoe taarifa polisi kuna mama anataka kumuozesha binti yake wa kidato cha tatu. Hapo nakuambia utapata zawadi toka kwa Ndalichako, Tamwa, Waziri Ummy, n.k.
Hapa nakubaliana nawe miamia.
 
Mkuu usihame nyumba wala nn, cha kufanya mwambie huyo mama kwamba kama anataka kumkubalia ombi lake ili mwanae aendelee kusoma ni kuandikishana mkataba ambao utakua na mashahidi wa upande wako na upande wake. Ili baadae kama kutakua na la kutokea wewe unakua uko upande salama kwamba nia ni mtoto asome basi. Lakini pia achana na fikra za huyo mtoto wa shule kabisa we endelea kubonyeza wale wa facebook, instagram au badoo[emoji23][emoji23]
 
Ni pm namba ya huyo demu nimalize Tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…