Haya wakubwa...wasiishie barabara tu wawajengee na makaburi 'ya lami' wale ambao walifariki kabla ya barabara kujengwa kwa hisani ya watu wa marekani!
hahaha unakuta kaburi limeandikwa "kwa hisani ya watu wa marekani"
Mbona hizi zinazojengwa kwa kodi zetu haziandikwi FUNDED BY TANZANIA PEOPLE?