Kingfisher JF-Expert Member Joined May 22, 2015 Posts 5,131 Reaction score 8,368 Jul 17, 2015 #21 Mkaushie kama kawiki ka moja hivi..uone response yake
skipper JF-Expert Member Joined Mar 4, 2011 Posts 659 Reaction score 72 Jul 17, 2015 #22 we sijui ni form 2, maana vitu vingine haviitaji ushauri
naturalhandsome Member Joined Jul 11, 2015 Posts 58 Reaction score 19 Jul 17, 2015 #23 najua una uamz unaotamn kuutekeleza lakn unahis kuacha kovu kumbwa katka moyo wako,kiukweli atakuwa na mtu mwingne. Chakufanya mwambie akuweke waz then uchukue hamsin zako.
najua una uamz unaotamn kuutekeleza lakn unahis kuacha kovu kumbwa katka moyo wako,kiukweli atakuwa na mtu mwingne. Chakufanya mwambie akuweke waz then uchukue hamsin zako.
Lee Cho in JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 941 Reaction score 693 Jul 17, 2015 #24 naturalhandsome said: najua una uamz unaotamn kuutekeleza lakn unahis kuacha kovu kumbwa katka moyo wako,kiukweli atakuwa na mtu mwingne. Chakufanya mwambie akuweke waz then uchukue hamsin zako. Click to expand... huu ndo ushaur
naturalhandsome said: najua una uamz unaotamn kuutekeleza lakn unahis kuacha kovu kumbwa katka moyo wako,kiukweli atakuwa na mtu mwingne. Chakufanya mwambie akuweke waz then uchukue hamsin zako. Click to expand... huu ndo ushaur
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,706 Aug 1, 2019 #25 MO11 said: Kosa la kwanza ni kumtongoza mara ya pili kosa la pili utalifanya endapo ukimuoa Click to expand... Na kweli mkuu. Jamaa keshaingia chaka teyari.
MO11 said: Kosa la kwanza ni kumtongoza mara ya pili kosa la pili utalifanya endapo ukimuoa Click to expand... Na kweli mkuu. Jamaa keshaingia chaka teyari.
Noel Ngiama Makanda JF-Expert Member Joined Oct 14, 2018 Posts 1,782 Reaction score 3,111 Aug 1, 2019 #26 Watu mmefukua kaburi. Inaonakana huwa tunahangaika kutoa ushauri humu.
I iMind Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,206 Reaction score 5,439 Aug 1, 2019 #27 Huyu dada hakumpenda tangu mwanzo. Na alionyesha dalili zote, ila ndo hivyo jamaa hakushtuka.
No Escape JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 6,663 Reaction score 7,828 Aug 1, 2019 #28 Hivi kila siku tuwe tunajibu swalo hili tuu! Kwani wanatofautiana haoo...
Leonardchama7 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,965 Reaction score 4,052 Aug 1, 2019 #29 Huyo ana kilaka mwingine huko ila hajajua nani huko atamuoa