Yale mavitu yetu ya ukweli nimeipata

heeeee vijana,mnafanya nini hapa?huko pm mnapokutana ndio wapi?mnapeana nini?bangwi au mirungwi?mnachezea geshi la polish enhe?haya haya haya wote under arrest miguu juu!
 
Dah nilikuwa najiuliza vijana wanazungumziya madude gani???
Nikagundua kumbe ni kitu kinachoitwa "proxy"!!
Uzuri ni kwamba kuna Binti yangu anaye bukua chuo fulani New Delhi kule kwa Magabachori aliwahi kunifundisha haya maujanja na ndiyo nayotumiya siku zote nilizopo mjini.
Ninazo nyingi Xana ila tatizo nyingi haziwezi kufungua secure website kama yahooo na nyinginezo.
Kwavile nimegundua mwendo unaotumika humu maskani ni wa kunong'onezana basi nami naweza kusaidiya ila watakaoni PM wajue setting wao wenyewe mie natoa tarakimu tu ila kabla ya yote niwasikilize kwanza wenyeji wa umu wanasemaje?
Ameolewa huyo binti yako!?
Kama hajaolewa, senior bachelor mwenzake nipo namsubiri!.
(Just Joking) Take it easy :lol:
 
TATIZO TUKIWAPA VIJNA MAUJANJA wanaanza KUBWABWAJA HADI KULE FACEBOOK,
NIKO NAPIGA HOMEWORK FLANI HIVI SO VIJANA KAENI MKAO WAKULA
 
usiku wa kiza sijaelewa kitu hapa duu! sijui mnauziana bangi!

na ni ngumu sana kujua kama hauvuti bangi na wewe nakushauri uende jukwaa la siasa ukaitetee ccm yako au..................
 
Ameolewa huyo binti yako!?
Kama hajaolewa, senior bachelor mwenzake nipo namsubiri!.
(Just Joking) Take it easy :lol:

Bado anatoboa huko ughaibuni but kama kuna khamsa swalat aje nimtwishe mzigo ila wewe username yako inajieleza wazi upo muflis so hupati kitu.
 
Back
Top Bottom