Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,169
Picha hii hapa chini itadumu miaka mingi sana kuashiria nni namna gani watanzania walikuwa wakitaka mabadiliko ya kweli. Dogo huyu (mbele kabisa aliyenyanyua mkono kwa hisia) pamoja na kwamba hajatimiza umri wa kupiga kura, but the body language inaonyesha ni jinsi gani ana hisia ya kiu ya mabadiliko
Pamoja na kwamba mazingira ni tofauti sana. Naifananisha picha hii kwa kubeba kumbukumbu kama ilivyokuwa picha ile maarufu ya vita ya vietnam - The girl in the picture.
Kwa maoni yangu binafsi picha hii ni nzuri pengine kuliko picha zote za kampeni 2010.
THE BOY IN THE PICTURE
Kampeni ya Dr. Slaa - Nzega.