environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
- Thread starter
- #21
wanang'ang'ania chama kushika hatamu huku wanawakanyaga watanzaniaKwa mwenendo wa mambo ya ccm sidhani kama kwa mtu mwenxe uchungu na Tz anaweza kushirikina nao ama kuwa nao tena, labda wanaoweza kuwa nao tena ni wale wenye maslahi yao binafsi na kuinyonya Tz tu.