environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Mwenzao Le Mutuz Baharia Big show amefungua matawi kibao lakini akashindwa ku replicate mambo ya NYC akaishia kutembeza rushwa watu wameramba fedha wakamnyima kura asirudie tena na EALA ataisikia bombani
Mwenzao Le Mutuz Baharia Big show amefungua matawi kibao lakini akashindwa ku replicate mambo ya NYC akaishia kutembeza rushwa watu wameramba fedha wakamnyima kura asirudie tena na EALA ataisikia bombani
Wabebachi Wachache Reading (Big brother house)wapi viongozi wa tawi la ccm london
Mkuu jfforjamii ni kweli mageuzi yamepitia safari ndefu na yenye maumivu makali lakini yamefika! Hawa jamaa waliofungua matawi nje ilikua kuganga njaa,ni kama baadhi ya watendaji wa ngazi ya juu serikalini walipokua wanakaribia ama kustaafu wanaenda kugombea ubunge kupitia CCM wakijua watapita tu! Sasa wajaribu 2015 waone moto utakao wawakia.
Hii Millard miwilu ni kama haina wenyeji, swhemu kubwa ya wakaziwake ni wageni, wenyeji wa mikoa hawahasoma wamekimbilia vijia maendeleouchaguzi 2015 utakuwa kinyang'anyiro cha nguvu sana hasa majimboni wananchi wamehamasika kiasi cha kutosha ila cha ajabu Dar na Dom watakuwa wamwisho kwenye haya mageuzi.
Wana JF najiuliza yale matawi ya CCM yaliyoko ughaibuni yako wapi katika hiki kipindi ambacho chama chenyewe kinaonekana kiko gizani? Msimamo wao katika masuala ya rushwa zinazoendelea huko nyumbani ni upi au hawa wanachama ni opportunist tu wanasubiri kudaka wanachodondoshewa na watawala na watafuna uchumi wa Tanzania??! Nafikiri kama kweli wana dhamira ya dhati na mapendo ya dhati kwa nchi yetu wangekuwa wanatoa matamko walau kukemea au kuunga mkono sera zinazoendelea huko nyumbani. Humu JF hawa jamaa wapo watuambie msimamo wao??