Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Waungwana,
Mwaka jana tulikuwa tunaona magari makubwa ya mafuta yenye chata ya Lake Oil, ila kipindi cha mwisho wa kampeini za uchaguzi magari hayo hayakuonekana barabarani tena hadi sasa.
Hivi kilitokea kitu gani kwa hayo magari, na je! Mmiliki wa magari hayo alikuwa nani? Kama anajulikana hana harufu ya watumbuliwaji?
Picha ya mfano wa magari ya LakeOil