Yajue Maslahi ya MAJAJI Tanzania

Yajue Maslahi ya MAJAJI Tanzania

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,114
Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Kuu na Rufaa nchini.

1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.

NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?

**Naambatanisha na Sheria husika
 

Attachments

Manononya ni nini mkuu? Au ni typo?

Screenshot_20250223_045850_Chrome.jpg
 
Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.

1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.

NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?

**Naambatanisha na Sheria husika
Mbona umesahau 80%ya mishahara yao baada ya kustaafu hadi siku Mungu anapowapenda zaidi.
 
Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.

1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.

NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?

**Naambatanisha na Sheria husika
Watu wanachukua rushwa kwasababu watu waliowazunguka ni masikin sana wanahtaji msaada. Familia ndugu uliosoma nao nk nk. Labda kizaz cha tatu baada ya kufanikiwa kama mo dewji lakin kama wewe ndio wa kwanza kutoka huko kwenu hiz mambo ni nadra kukwepa. Ni sawa na mbunge wanapata hela nyingi lakin akili zetu watz za kijamaa muda wote tunashida na tushaamua watu wa kuzitatua ni serikali hatuko tayar kutumia akili zetu kuzitatua. Sasa serikali ikiingia mitini ndio tunalokotwa na akina mwamposa kiulaini. Wabunge wanakimbiq kukaa majimboni kwasababu wenye shida kila siku wapo nyumbn kumletea shida.
 
Mkuu siku nyingine ukipata muda utuletee MADA kuhusu marupurupu na manono ya wafanyakazi wengine wa hyo taasisi kubwa au hao wasaidizi wao ili tufahamu nao wapoje.
 
Nimezungumzia Ubunge tu kwasababu nilikuwa najua hilo la Jaji Ramadhan! Jinga sana wewe!!
Ramadhani si aliombwa kama alivyoombwa S.A.S kisha akaishia kudhalilishwa!

Chama kile kilikosa mtu wa kuunga chama, mara huyu kakamatwa na burungutu chimwaga, mara yule sijui yuko na mimvi n.k mwisho wakampata jiwe.

Bila kile chama, Ramadhani asingeingia mkenge
 
Mbona sioni hayo maslahi unayosema? Kqa hiyo ulitaka Jaji apande Kimbinyiko au Ngorika wakati ana hukumu za kunyonga watu? Pumbavu kabisa
Natamani Jamii forum iwe na watu wenye Strong argument kama wewe Chiembe!! Hongera sana kwa jibu zuri
 
Back
Top Bottom