Harnandez
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 408
- 344
TAHLISO ndo mdudu gani vyuo vyavafya vyote na vingine hawajapewa boom TAHLISO wapo wapo tu! Na tutajitoa rasmi naenda kumshauri Rais hatulipi Ada yaoKila kitu sasa hivi kimeingiliwa na kuharibiwa na Siasa!