Yajue Magari ya Hybrid

Yajue Magari ya Hybrid

ukiipata vezel utaenjoy sana kwanza hybrid system ya honda kwa ujumla ni bora na hainaga vipengele kama toyota. nina vezel oya hii gari ni tam sanaaaa
Nimeiona kwa picha tu, naomba kujua , ina milango ya nyuma pia au ndio dereva ashuke ndio mwingine apande? Maana so fat sijaona ile handle ya lufungulia mlanho wa nyuma
 
Za miaka ya nyuma ~2014 sio za moto kama za ~2017 walivyofanya facelift.

Za nyuma below 25 Mil unapata.
Kaka hii gari ushuru wake nimeona ni 17m, 25m inawezekanaje? kama naweza kuipata kwa chini ya 25m ngoja niachane na prius tu.
 
Kaka hii gari ushuru wake nimeona ni 17m, 25m inawezekanaje? kama naweza kuipata kwa chini ya 25m ngoja niachane na prius tu.
Ngoja nikupe homework. Kwanza kasome tofauti ya Model code RU na RV.
Hafu kacheki ushuru wa RU3, RU4 za 2016 (hizi Mil 14, hapa zimepanda zilikua 12).
 
Kaka hii gari ushuru wake nimeona ni 17m, 25m inawezekanaje? kama naweza kuipata kwa chini ya 25m ngoja niachane na prius tu.
Prius ukinunua mwanao anakuja kutumia kama ukiwa unafanya service ontime. Hafu kwenye wese Prius utasave zaidi.

Mi situmii Vezel ila natumia Fit. Sahivi naena 27 km/L average.
 
Ngoja nikupe homework. Kwanza kasome tofauti ya Model code RU na RV.
Hafu kacheki ushuru wa RU3, RU4 za 2016 (hizi Mil 14, hapa zimepanda zilikua 12).
RU ni model code ya First generation Vezel na RV ni model code ya Second Generation.
RU 1 and 2 ni non hybrid wakati RU 3 and 4 ni hybrids
RU 3 ni 2WD wakati RU 4 ni AWD.
Kweli kaka nimeona hizi zina 14m ushuru.
 
Naam mkuu. Uzuri gen 1 na gen 2 tofauti ndogo sana so ata gen 1 bado kali tu.
 
PureView zeiss acha uchawi.

Huu mwaka ilikua inakuja EV izo hybrid basi tu umasikini ila EV au REEV ndio habari ya mjini.

Sasa napambania Insight au Vezel.
Vezel naona imekaa unyama ukilinganisha na bei yake. Najichanga hapa kuagiza sasa kwenye list yupo huyo Vezel na Outlander ya kuanzia 2013 body yake naielewa.

Sema vezel anajichukulia points nyingi zaidi kwa sabab ya hybrid.
 
Achana na Outlander. Ishi na Vezel.
 
Kama fuel efficiency ndio kigezo cha kwanza mfikirie na Prius, Aqua ingawa watu hawazipendi muonekano ila mafuta vinanusa.
Body look, hazina muonekano mzuri. 😂

Vezel ni kama Mazda CX 5 au Nissan Duals, zina muonekano mzuri kwa nje
 
Body look, hazina muonekano mzuri. 😂

Vezel ni kama Mazda CX 5 au Nissan Duals, zina muonekano mzuri kwa nje
Basi komaa hapo hapo. Sure Vezel ni mini-CX5 au tuseme ni CX-3
 
Back
Top Bottom