Yajayo yanafurahisha.....

Yaani katika vitu sitaki kuvisikia Basi ni hii michango ya harusi......ndugu zangu nimewapa taarifa sitatoa mchango wowote unaohusu harusi.......miez miwili ilopita kuna best yangu alinipa kadi ya harusi ....kakaaa wiki ilopita ananidai pesa ya mchango wa kadi yake nilichomjibu alilia... Sipendi ujinga huu
 
Keita na Kindeki waligombana kisa mchango wa harusi.

Wenzetu mliowahi kuishi nje hebu tuambieni. Hua wanachangishana kama huku? Hua mwanaume anapangiwa mahari?
 
Umeoa?
 
Kama mimi mkuu, sichangii mtu, hata wife nimempiga marufuku
 
Inawezekana ilimkera kuona mtu una mchangia leo hlf siku chache anasikia wameachana,ila wanasema tenda wema nenda zako.
 
Inawezekana ilimkera kuona mtu una mchangia leo hlf siku chache anasikia wameachana,ila wanasema tenda wema nenda zako.
Kuna mtu alienda kudai fridge akamwambia mwanaume Mimi niliwapa fridge mkiwa wawili huwezi kutumia peke yako. Jamaa alivyobisha akamtolea risiti. Alipewa fridge bila risiti wakabeba fridge wakasepa nalo na risiti yao mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…