Yai la kuku utalichemsha kwa dakika ngapi?

Jiko gani...la mkaa, kuni, gas au umeme??? chombo gani...sufuria ya mchina, chungu, pressure cooker au? maeneo gani...Dar au Mlima Kilimanjaro?...kuku wa aina gani..kienyejiau kisasa nk?

huu ndio ukweli.
 
Mimi sijui kupika, lakini upishi wa yai nauweza, nitachemsha huku nikiwa najaribu kuligonga gonga na kijiko/uma nikiona linatoa ufa najua tayari
 
La kienyeji dk.5, la kisasa dk.10 kuua kemikali ya madawa na sindano wanazochomwa
 
Siangalii dakika, nachemsha mpaka lipasuke ndo najua limeiva 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…