Yahya Sinwar: Tutaifurusha Israel Tel Aviv

Wewe ni fanatic, kwa hiyo baba yako akioa hausigeli wako, huyo hausigeli anakuwa mke duni kwa sababu alikuwa hausigeli?.
Hizi akili huwa mnazipata wapi?

Biblia inasema Sara alikuwa ni dada wa damu wa Abraham ( Baba mmoja mama tofauti), sasa kwako wewe kipi cha hatari mtu kuzaa na hausigeli au kuoa na kuzaa na dada yake wa damu?

Mwanzo 20:12 :
"Na, tena, yeye kwa kweli ni dada yangu, ni binti ya baba yangu, ila tu si binti ya mama yangu; naye akawa mke wangu".

Mambo ya Manabii msiwe mnayafanyia dhihaka na ushabiki, mnajitafutia matatizo.
Jamaa hebu ukue kidogo kiakili basi. Ibrahimu mkewe alikua mzuri sana kila alipoenda wafalme walitaka kumpora kwa hiyo alikua akiwadanganya huyu ni dada yangu ili asiuwawe some hadith nzima uache upumbavu wa kupotosha kwa makusudi. Housegirl hata akiolewa àtakuwa na mentality za kitumwa.

Kwanza Ibrahimu hakumuoa Mjakazi bali alilala nae tu.

Soma sura nzima[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Mwanzo
20:1-18
20 Sasa Abrahamu akahamisha kambi kutoka huko+ mpaka nchi ya Negebu na kuanza kukaa katikati ya Kadeshi+ na Shuri+ na kukaa akiwa mgeni Gerari.+ 2 Na Abrahamu akasema tena kumhusu Sara mke wake: “Yeye ni dada yangu.”+ Basi Abimeleki mfalme wa Gerari akatuma watu, akamchukua Sara.+ 3 Baadaye Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto ya usiku, akamwambia: “Tazama, wewe ni kama tu umekufa, kwa sababu ya mwanamke ambaye umemchukua,+ kwa kuwa yeye ni mke wa mwingine.”+ 4 Hata hivyo, Abimeleki hakuwa amemkaribia.+ Kwa hiyo akasema: “Yehova, je, utaua taifa ambalo kwa kweli ni lenye uadilifu?+ 5 Je, yeye hakuniambia, ‘Huyu ni dada yangu’? naye huyu—je, yeye pia hakusema, ‘Yeye ni ndugu yangu’? Mimi nimefanya jambo hili katika unyoofu wa moyo wangu na bila hatia mikononi mwangu.”+ 6 Basi Mungu wa kweli akamwambia katika ndoto: “Mimi pia nimejua kwamba katika unyoofu wa moyo wako umefanya hili,+ nami pia nilikuwa nikikuzuia usinitendee dhambi.+ Ndiyo sababu mimi sikukuruhusu umguse.+ 7 Lakini sasa mrudishe mke wa huyo mwanamume, kwa maana yeye ni nabii,+ naye atakuombea dua.+ Kwa hiyo uendelee kuishi. Lakini ikiwa humrudishi, jua kwamba utakufa hakika, wewe na wote walio wako.”+
8 Kwa hiyo Abimeleki akaamka asubuhi na mapema, akawaita watumishi wake wote na kuyasema mambo hayo yote masikioni mwao. Na watu hao wakaogopa sana. 9 Kisha Abimeleki akamwita Abrahamu na kumwambia: “Umetutendea nini, na ni dhambi gani nimekutendea, hata ukaleta juu yangu na ufalme wangu dhambi kubwa?+ Matendo ambayo hayakupaswa kutendwa, wewe umetenda kuhusiana nami.”+ 10 Na Abimeleki akaendelea kumwambia Abrahamu: “Ulikuwa na lengo gani kwa kufanya jambo hili?”+ 11 Abrahamu akajibu akasema: “Ni kwa sababu nilisema moyoni mwangu, ‘Bila shaka mahali hapa hawamwogopi Mungu.+ Nao hakika wataniua kwa sababu ya mke wangu.’+ 12 Na, tena, yeye kwa kweli ni dada yangu, ni binti ya baba yangu, ila tu si binti ya mama yangu; naye akawa mke wangu.+ 13 Ikawa kwamba, Mungu aliponihamisha kutoka katika nyumba ya baba yangu,+ ndipo nilipomwambia yeye, ‘Hizi ni fadhili zenye upendo+ unazoweza kunionyesha: Kila mahali ambako tutakwenda sema hivi kunihusu: “Yeye ni ndugu yangu.”’”+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wewe ndo hujui biblia, KWA AKILI YAKO UNADHANI SIJAWAHI KUJIULIZA HIYO SCENARIO YAKO, LAKINI MAANDIKO YAKO CONSISTENT!!

(1) Abimeleki alishamtwaa Sara, lakini hakufanikiwa kumgusa kwa sababu MWENYEZI MUNGU alimuonya kuwa huyo ni mke wa nabii

(2) Baada ya Sara kurudishwa kwa Abraham, Abraham hakuwa na HAJA YA KUONGOPA KUWA SARA ni dada yake kwa sababu Mungu alishampigania akamlindia mke wake

(3) Abimeleki alishajua kuwa Abaraham ni nabii wa Mungu baada ya tukio la ndoto lililomtokea usiku kwa hiyo asingethubutu kumdhuru Abraham

(4) Baada ya Abimeleki kupewa ujumbe ndotoni na Mungu kisha kukiri mbele ya Abraham kuwa kuna jambo la ajabu limemtokea ndotoni, Abraham hakuwa na sababu tena ya kumuogopa Abimeleki kuwa atamdhuru kwa sababu Mungu alikuwa naye muda wote!

Abraham alimuita Sara DADA yake kabla Abimeleki hajamtwaa , Na pia aliendelea kumuita Sara dada yake baada ya Abimeleki kumrudisha, Tena akaendelea kutoa ufafanuzi kuwa ni Dada yake kivipi!. BABA MMOJA MAMA TOFAUTi!

Look, Kitendo cha Kumbagaza baba yetu Abraham kuwa ni MUONGO , kisha kuendelea kudai kuwa alikuwa na MCHEPUKO ni Utovu wa nidhamu wa hali ya juu, nimekupeni hilo andiko ili mjue kuwa maisha ya kale kuyaangalia katika jicho la kishabiki unaweza ukajitafutia laana bure.

Soma hicho kisa vizuuuri bila ushabiki uelewe kuwa Abraham alikuwa consistent na maelezo yake!

HUWEZI KUMTUKUZA ISIHAKA KWA KUMTUKANA BABA YAKE ETI ALIKUWA NA MCHEPUKO DUH, HIVI NYINYI HAMUOGOPI?
 
Maneno yako yanamdhalilisha Baba wa Imani, kwa kudai kuwa alikuwa anachepuka , kumbuka Kumsema Vibaya Abraham ni kujitafutia laana.
Hajiri hakuwa mchepuko alikuwa ni mke halali wa Abraham, soma vizuri biblia.

Mwanzo 16:3

"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe".
Baba wa Dunia ipi!!??? Hizo dini zenu za majahazi zinawajaza ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom