Yahya Sinwar: Tutaifurusha Israel Tel Aviv

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
Notwithstanding ongoing Egyptian-brokered ceasefire talks with Israel, Hamas leader Yahya Sinwar claimed his terror group was capable of forcing Israelis to flee Tel Aviv.

By World Israel News Staff

The Hamas terror group’s Gaza-based leader Yahya Sinwar claimed Saturday his forces would inflict serious losses on Israel if Egypt’s current efforts to broker a ceasefire with the Jewish state fail and war breaks out.

“If the Gaza Strip is dragged into war, Israel will suffer. It will not only have to evacuate the communities around the Strip, but also Ashdod and Ashkelon and even Tel Aviv,” Sinwar commented to Gaza officials, reported Times of Israel.

Sinwar’s comments arrive as Egypt continues to try to coax the terror group into a truce with Israel.

While Sinwar just a day earlier claimed talks were progressing, he commented to Al-Aqsa TV on Saturday, “Our fingers are on the trigger and they will remain pressed against it in order to protect our people. We will be the sword and shield.”

For the past year, Hamas has orchestrated massive violent riots on Israel’s border with Gaza on a weekly basis, during which Gazans shoot at IDF troops, hurl Molotov cocktails, plant IEDs, attempt infiltration, and launch airborne incendiary devices into Israeli territory.

The “March of Return” riots have been accompanied by Hamas’ conventional tactic of rocket attacks on Israeli civilians, which have injured children and killed one Israeli during the past year.

Hawa jamaa wanajiamini wanachokitaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stupid his faith stupid his dreams stupid his supporters stupid his ideology
 
Hawa watoto wa kijakazi ni washenzi mtoto wa mchepo huwa harithi..

Maneno yako yanamdhalilisha Baba wa Imani, kwa kudai kuwa alikuwa anachepuka , kumbuka Kumsema Vibaya Abraham ni kujitafutia laana.
Hajiri hakuwa mchepuko alikuwa ni mke halali wa Abraham, soma vizuri biblia.

Mwanzo 16:3

"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe".
 
Kwa Abramu hakuwa mchepuko lakini kwa IBRAHIM ni mchepuko tu!
 
Halafu wakitandikwa wanaanza kulialia mbele za kamera ili dunia iwahurumie pathetic
netanyau ndo analia lia sana,kutwa kiguu na njia kutafuta usaidizi wa kijeshi wa wamarekani na warusi,bahati ulaya washamsoma sikuhizi hata hawamjali
 
Vita ya Hammas na Israel ni asymetric warfare ambayo mmoja ana nguvu sana, mwingine hana nguvu sana lakini ni jasiri kweli kweli Hamaas ikipoteza watu 1000 haioni hatari wakati israel ikipoteza Askari 100 ni kilio israel nzima. Ndiyo maana Israel wao huona njia ya kudeal na gaza ni kubomb tu kutoka mawinguni. Hamas huwa wanombea Israel iingize kikosi cha miguu Gaza wawatungue, ila Israel huwa wanakaa mbali kule kwenye fence hawatii mguu!.
Tofauti na kule west bank ambako hakuna vikosi vya resistance, Askari wa Israel huingia kule na kupiga piga watu kwenye majumba yao, ujinga huu kule Gaza haupo!
 
Maneno yako yanamdhalilisha Baba wa Imani, kwa kudai kuwa alikuwa anachepuka , kumbuka Kumsema Vibaya Abraham ni kujitafutia laana.
Hajiri hakuwa mchepuko alikuwa ni mke halali wa Abraham, soma vizuri biblia.

Mwanzo 16:3

"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe".
Awe mkewe maana ya kulala nae halafu mbona umesoma kipande

Ila ni kawaida yenu ngoja nikuletee hadithi kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno yako yanamdhalilisha Baba wa Imani, kwa kudai kuwa alikuwa anachepuka , kumbuka Kumsema Vibaya Abraham ni kujitafutia laana.
Hajiri hakuwa mchepuko alikuwa ni mke halali wa Abraham, soma vizuri biblia.

Mwanzo 16:3

"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe".
Mwanzo
16:1-9
16 Sasa Sarai, mke wa Abramu, hakuwa amemzalia watoto wowote;+ lakini alikuwa na mjakazi Mmisri na jina lake lilikuwa Hagari.+ 2 Ndipo Sarai akamwambia Abramu: “Tafadhali sasa! Yehova amenifunga nisizae watoto.+ Tafadhali, lala na mjakazi wangu. Labda ninaweza kupata watoto kutokana naye.”+ Basi Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.+ 3 Ndipo Sarai, mke wa Abramu, akamchukua Hagari, mjakazi wake Mmisri, mwishoni mwa miaka kumi ya kukaa kwa Abramu katika nchi ya Kanaani, naye akampa mume wake Abramu kama mke wake.+ 4 Basi akalala na Hagari, naye akapata mimba. Wakati alipojua kwamba ana mimba, ndipo bimkubwa wake akawa mtu wa kudharaulika machoni pake.+
5 Basi Sarai akamwambia Abramu: “Jeuri niliyotendewa na iwe juu yako. Mimi nilimtia mjakazi wangu kifuani pako, naye alipojua kwamba ana mimba, akaanza kunidharau machoni pake. Yehova na ahukumu kati yangu na wewe.”+ 6 Ndipo Abramu akamwambia Sarai:+ “Tazama! Mjakazi wako yuko chini ya mamlaka yako. Mtendee yaliyo mema machoni pako.”+ Basi Sarai akaanza kumfedhehesha hivi kwamba akakimbia kutoka kwake.+
7 Baadaye malaika wa Yehova+ akamkuta kwenye chemchemi ya maji nyikani, kwenye chemchemi iliyo njiani kuelekea Shuri.+ 8 Naye akaanza kusema: “Hagari, mjakazi wa Sarai, umetoka wapi nawe unaenda wapi?” Naye akajibu: “Mimi ninakimbia kutoka kwa Sarai bimkubwa wangu.” 9 Na malaika wa Yehova akaendelea kumwambia: “Rudi kwa bimkubwa wako ujinyenyekeze chini ya mkono wake.”

AMEENDELEA KUITWA KIJAKAZI HATA BAADA YA MIMBA UWAGE UNAELEWA.

Usipotoshe kwa kuchagua kipande kinachokufeva

Wewe ni fanatic, kwa hiyo baba yako akioa hausigeli wako, huyo hausigeli anakuwa mke duni kwa sababu alikuwa hausigeli?.
Hizi akili huwa mnazipata wapi?

Biblia inasema Sara alikuwa ni dada wa damu wa Abraham ( Baba mmoja mama tofauti), sasa kwako wewe kipi cha hatari mtu kuzaa na hausigeli au kuoa na kuzaa na dada yake wa damu?

Mwanzo 20:12 :
"Na, tena, yeye kwa kweli ni dada yangu, ni binti ya baba yangu, ila tu si binti ya mama yangu; naye akawa mke wangu".

Mambo ya Manabii msiwe mnayafanyia dhihaka na ushabiki, mnajitafutia matatizo.
 
Maneno yako yanamdhalilisha Baba wa Imani, kwa kudai kuwa alikuwa anachepuka , kumbuka Kumsema Vibaya Abraham ni kujitafutia laana.
Hajiri hakuwa mchepuko alikuwa ni mke halali wa Abraham, soma vizuri biblia.

Mwanzo 16:3

"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe".
Kati ya Mungu na Sara Ibrahim alipaswa kumtii nani zaidi? Unataka kutuaminisha kile kitendo ni ruhusa ya Mungu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom