Yahusu wafufuao wafu na misukule

Mkuu Gwajima ni tapeli hatari sana.Mshukuru Mungu kwa kumjua huyu mwanamazingaobwe.
 
This is what the Word of God says:

Matthew 10:8 Heal the sick, raise the dead, cleanse those who have leprosy, drive out demons. Freely you have received; freely give.

The main problem is this, ALLAH AND MUHAMMAD NEVER DID THE ABOVE.
 
HaPo ktk wanasiasa hao wawili umenichanganyia habar.vp kwa hiyo wanajuana hata mjengoni???? Du cpati pcha
 
This is what the Word of God says:

Matthew 10:8 Heal the sick, raise the dead, cleanse those who have leprosy, drive out demons. Freely you have received; freely give.

The main problem is this, ALLAH AND MUHAMMAD NEVER DID THE ABOVE.
Tanzanialaw nisingependa twende huko, vema tukajadili kilichomo kwenye heading
 
Last edited by a moderator:
Imeandikwa "Ole wa dunia na bahari maana shetani ametpwa kwenu akijua ana muda mchache". Hapa ndipo taabu inapokuwa maana adui anajua ana muda mchache lakini walengwa wa shambulio lake wanaona uko muda mwingi wa kutosha ndio wanapiga hela kwa jina la Yesu badala ya kujiandaa kwa marejeo mara ya pili
 
wachungaji wa makanisa ya kiroho

Ni sawa kabisa na makalmanzila
Wanachokifanya ni kucheza na akili za wateja wao
Your accusations are frivolous and or you are wantonly disregard the infallible word. Here is what Jesus said:
Matthew 10:8 Heal the sick, raise the dead, cleanse those who have leprosy, drive out demons. Freely you have received; freely give.

So, what part of "raise the dead" don't you understand?
 
Shida waliyo nayo wengi ni wavivu was kusoma neno au kusoma kwa kukariri na kupenda kwenye kuamini miujiza zaidi kuliko uhalisia
It is you who don't read the Bible, but people who are informed are doing it. Hereunder is the impeccable proof.

Matthew 10:8 Heal the sick, raise the dead, cleanse those who have leprosy, drive out demons. Freely you have received; freely give.
 
What has this to do with "WAFUFUAO WATU MISUKULE"?
 
It is you who don't read the Bible, but people who are informed are doing it. Hereunder is the impeccable proof.

Matthew 10:8 Heal the sick, raise the dead, cleanse those who have leprosy, drive out demons. Freely you have received; freely give.

The Christian faith says we shall raise the dead and you are against it.
TanzaniaLaw kuna mahali naona hukupaelewa sipingani na neno la Mungu hata mara moja bali napingana na mafundisho yatolewayo na manabii na mitume wa makanisa ya kileo ukiisoma tena post yangu kwa makini utaelewa nilimaanisha nini
 
Last edited by a moderator:
Na ni kweli wizi mtupu, maana hawa akina Gwajima miaka michache walikuwa watu wa kawaida sana sasa hivi ni matajiri wa kutupa kwa wizi wanaoufanya kwa waumini wao.
False accusation
 
Mi binafsi siwalaumu sana hao wanaotenda hayo mambo ila lawama zangu na masikitiko yangu makubwa nayatupa kwa hao wanaowafuata na kuwasikiliza kwa kushindwa kung'amua kiini macho hicho kwani ndo wanaowapa nguvu ya kutenda hayo wanayoyatenda, imani kweli ni upofu,jiulize kitu kimoja tu, mtu kafa kisha kafufuliwa na ameendelea kuishi duniani, kafa tena kisha kafufuliwa tena kwa mara nyingine na anaendelea kuishi duniani kwa mara nyingine tena kwa kua nfufuaji yupo, sasa huo mchezo utakua hivo hivo hadi lini sasa.jiongeze ndugu
 
TanzaniaLaw kuna mahali naona hukupaelewa sipingani na neno la Mungu hata mara moja bali napingana na mafundisho yatolewayo na manabii na mitume wa makanisa ya kileo ukiisoma tena post yangu kwa makini utaelewa nilimaanisha nini
Haujatumia aya hata moja kupinga hayo mafundisho. Zaidi ya hapo, unatumia vipimo gani kupinga watumishi wa Mungu?
 
Pumbavu*; wangeenda kuhubiri amani somalia'darful'ukingo wa gaza'sirya na kwingneko kunakofanana na maeneo hayo mataper
 
Let me put it in another way: there are several biblical accounts that are the basis for the modern practice of using a prayer cloth to assist the pray-er to receive positive answers to prayer. Matthew 9:20–22 tells the story of a woman who had suffered severe bleeding for twelve years. She managed to touch the hem of Jesus' cloak, believing this simple contact would heal her. Jesus countered in verse 22, telling her, "Your faith has made you well."

In
Matthew 14:34–36, the people of Gennesaret had a similar thought. All the sick from the area desired to touch only the hem of Jesus' garment. All who did were healed.

Acts 19:11–12 relates how handkerchiefs that Paul had merely touched were carried to the sick, in hopes that people would be healed of diseases and evil spirits.

Why are you against the Bible? mshana jr

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…