Yahusu wafufuao wafu na misukule


Ukiacha Yesu Kristo ni nani tena alishafufua hata mfu mmoja tuu...at least kwa hapa Tanzania??? Josephat alidanganya watu kuwa angemfufua AC watu wakafurika kwa siku tano nzima akapiga bingo ya sadaka za kufa mtu na mwishowe hakumfufua
Unabii upo na manabii wapo lakini hawavai suti za bei ghali na kuishi maisha ya kifahari kwa sadaka za maskini
 
Asante kwa kusadiki katika Utatu Mtakatifu. Mungu Baba Mungu Mwana Mungu Roho Mtakatifu. Mungu akubariki. Kila ulumi utamkiri Bwana...
Kila ulimi utawakiri mabwana...maana wako watatu!!!!
 
 
Last edited by a moderator:
Kila ulimi utawakiri mabwana...maana wako watatu!!!!

Hujasikia wanataka kumfufua Balali? Ilikuwa moja ya ahadi za mgombea mmoja pale Jangwani ambaye ana uhusiano wa karibu na Gwajima.
 
Hujasikia wanataka kumfufua Balali? Ilikuwa moja ya ahadi za mgombea mmoja pale Jangwani ambaye ana uhusiano wa karibu na Gwajima.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Wamedai kuwa watamfufua Balali, moja ya vipaumbele vya mgombea mmoja wa urais alivyojinadi navyo katika uzinduzi wa kampeni.
Ukweli kuhusu Balali ni upi? Kuna siku hili swali litajirudia tena na tena mpaka majibu yapatikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…