Wakuu naomba kuuliza hivi kama nimejisajiri kuwa mtahiniwa wa kujitegemea Yaan pc form 6. Na siku fanya mtihani huo je naweza tafuta shule kujiunga kama School candidate. Naombeni msaada wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.