Mhe. Rais uliongeza Pensheni kwa Wastaafu hivi karibuni na wote tulipongeza sana. Mhe. Rais cha kusikitisha sisi Wastaafu tunaopokea pensheni zetu za kila mwezi kwa asilimia 100 kutoka PSSF hatujaongezewa hata senti moja licha ya tamko lako.
Tunakuomba Mhe. Rais na sisi tunaopokea pensheni zetu toka PSSF tupate pia nyongeza kama walivyopata wenzetu wanaopokea pensheni zao toka HAZINA. Inasikitisha sana kuona kunataka kutokea ubaguzi baina ya Wastaafu wanaopata pensheni zao toka HAZINA na PSSF.
Nawasilisha.