Mtani wa Taifa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 883
- 3,066
Mimi nikiwa na akili zangu timamu, napinga utabiri wa mamlaka ya hali ya hewa kuwa kuanzia kesho tarehe 15 kutakuwa na mvua kubwa mpaka tarehe 18.
Utabiri wangu ni kuwa hiyo mvua kubwa haitakuwepo bali itanyesha mvua ya wastani ambayo haitasababisha mafuriko wala adha kwa wananchi.
Utabiri wangu usipotimia naomba mods wanipige ban ya siku 30 bila huruma.
Eeeh Mungu nisaidie.