Nipende kwanza kujivunia kwa mada ya tiba mbadala ya chumvi ... Sijivunii kwa wingi wa wachangiaji la hasha bali kwa mada husika kuwa msaada mkubwa kwa wengi mno... Tiba ile imewasaidia hasa kwenye Kutopatwa na mauzauza tena Kuota ndoto mbaya na za kuogofya Kupata usingizi mororo Kukingwa na...