Thread clossedCheo cha Naibu waziri mkuu hakipo kikatiba.
Biteko aliteuliwa ili kumpunguza kasi Majaliwa na kujaribu kupata kura za wasukuma
Inakuwaje sasa Mteuzi anateua nafasi isiyokuwepo kikatiba na na Mteule ana pokeaje majukumu yasiyokuwepo kikatiba na analipwa kutokana na bajeti ipi au anafanya kazi kwa kujitolea Kizalendo tu?Cheo cha Naibu waziri mkuu hakipo kikatiba.
Biteko aliteuliwa ili kumpunguza kasi Majaliwa na kujaribu kupata kura za wasukuma
Kwanini..hivi hawezi kumuomba tu Mteuzi kwa kuwa cheo hakipo kikatiba ili amalizie pengine kuna mambo alikuwa ameya anzisha na kuyayasimamia..?Nayo yanazima tu ghafula hivyo?! Kama sasa cheo hakina mrithi..sasa ni nani atayasimia?Ametulia Sasa Hivi Hali Tete
Kutoshiriki katika timu ya uovu kama hii iliyopo sasa ni bahati kubwa sana kwa kiongozi yeyote anayeheshimu utu wake.Kuwa kiongozi, jamii inakudharau bora usiwe kiongozi. Waziri mkuu na raisi awamu hii wanachukuliwa kama mazuzu tuu. Bora kukaa pembeni.
Biteko namkubali sana,ni fitna tu-Yuko wapi huyu Naibu Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Bukombe-CCM?
-Ni nani alirithi mikoba yake,maana natambua kwamba mkeka wa 2025 ulichanika?
-Namuona Waziri Mkuu wa sasa ana haha Nchi nzima peke yake tu pasipo msaidizi...Kulikoni huko?
Kutoshiriki katika timu ya uovu kama hii iliyopo sasa ni bahati kubwa sana kwa kiongozi yeyote anayeheshimu utu wake.
Sasa kama kwa bahati tu hakuteuliwa kuwa miongoni mwao, ajihesabu kuwa amebahatika sana.
ana haha Nchi nzima peke yake .... kama kuku aliyekatwa miguu!-Yuko wapi huyu Naibu Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Bukombe-CCM?
-Ni nani alirithi mikoba yake,maana natambua kwamba mkeka wa 2025 ulichanika?
-Namuona Waziri Mkuu wa sasa ana haha Nchi nzima peke yake tu pasipo msaidizi...Kulikoni huko?
Kama nani na naniPolepole aliwaharibia wengi sana Kuna watu walikuwa na Kismat hawakosi kwenye kila baraza la mawaziri lakini leo hii wako kando
Mizee nayo inajiita ni - BabuKijana- kama wewe..ngoma ni droo sasa.Biteko namkubali sana,ni fitna tu
Hawa vijana badala waonywe waende vizuri wanatemwa ,
Badala yake inaletwa mizee yote toka huko kwao kukaimu.
Nchi yetu wenyewe imepigwa dole la tako
Wengi tu kwa uchache ni Bash ungwa, bit eko,king Wala,taxation,jaffarae nkKama nani na nani