Bora tujipangie tarehe wenyewe tu assume kwamba ijumaa ya tarehe 7 mambo yatakuwa fresh, mm ndo hvo nasubiri hadi tarehe 7 mwezi ujao wala sina shida na mtu
Tufanyeje kama below3.5gpa na cc cjui tutapata mkopo tulikuwa tumejitoa fahamu tukatuma tu FM za mkopo lakini tukabaki kusubili irakavyokuwa ma Heslb nap wakaja na usemi kuwa hawakotayari kutoa mkopo kwa waombaji wapya .hatuelew kwa kweli irakuwaje
Kwa uvumilivu tuu, tunao, wangetuzingatia sis kabla ya form six kwani tuna process mpaka kwenda chuo, hatujaomba ruhusa za kwenda chuo wengine, tunasubiria admission bado ada ni shida, mkopo wenyewe haueleweki, ila mungu anawaona tuu.

Kwa wale Undergraduate applicant mlioomba KIU kupitia diploma chekini majina yenu maana naona jumla ya majina kwa kozi husika ni sawa na jumla ya form 6 na diploma ,mfano MBBCh jumla wapo 210 ukitoa form 6 idadi yao ni 180 kuna majina 30 yanabaki bila shaka ni diploma hao . Pia kwa Pharmacy jumla wako kama 208 na form 6 wapo 180 majina 28 bila shaka ni diploma holders .Jaribuni kuangalia na kozi zingine .