Yahoo wananitaka nibadili password

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Wadau,
Heri ya Ramadhan kwenu nyote.
Ninapo sign in katika yahoo acoount yangu nakutana na tangazo la kunitaka nibadili password kwani karibuni pamekuwa na majaribio mengi ya kuingia katiak account za yahoo(Tafsri ni yangu).
Naomba niwaulize je hili tangazo ni authentic au ndo yale yale ya matapeli?
 

>Hili hukitokeza na nikawaida iwapo huwa ni mtumiaji wa proxy /vpn software.
>Ondoa shaka kama wewe ni mtumiaji wa proxy/vpn.
>Ila kama si mtumiaji, baada ya ku login in katika email yako angalia ni IP ilitumika na ambayo inahusishwa na hiyo notification unayopata.
 
Asante kwa jibu la haraka lakini nikiri ya kuwa mimi sina uelewa mkubwa na mambo ya proxy/vpn kama unaweza kunirahisishia zaidi nitashukuru.
Na pia niweke wazi zaidi kuwa tangazo linatokea baada ya kuingiza password.
 
Vile vile angalia nembo yake kama ni genuine; yaani imeanza na Y iliyo ndani ya bluu iliyokoza!
 
nami pia msaada jamani,yangu naambiwa imefungiwa kwa mda,nakila napoifungua tena huwa wanaifunga upya.msaada pleaz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…