Kuanzia siku tatu zilizopita nimekuwa nikipokea emails za ajabu ajabu toka kwa ndugu na marafiki wanaotumia Yahoo. Wao wanasema hawajatuma hizo messages. Inaonyesha labda password zao zimekuwa hacked, or something. Kuna watu hapa wame experience hili tatizo? If yes or not consider changing your password.