Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
jina lake lina irabu 2
maneno matatu,na herufi 6,
mara utamkuta jukwaa la cc,mara siasani, mara jokesini maRa mmu...Ushamjua??
Mtoamada hivi unajua mimi tunavyo heshimiana na Bishanga ?
Mbona uko hivyo? Unafikiri nitasubutu hata kufungua domo langu hapa!
Yaani ungejua nnavyomuogopaga!
Istoshe ni senior wangu hapa Jeiefu!
Siwezi kumtaja , ingawaje namjua!
tuko wengi shem, yaani sinaga utani kabisa na huyu kalubandika wa kizazi kipya
Just koma kalubandika mumeo
lione... YAHAYA nyie!
jina lake lina irabu 2
maneno matatu,na herufi 6,
mara utamkuta jukwaa la cc,mara siasani, mara jokesini maRa mmu...Ushamjua??
Morning love The secretary.........nakupendaje!
wivu...........
Kwani YAHYA jina lako halisi nani??????!