Yah: Tuzo ya Uandikishaji Elimu ya Msingi Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yah: Tuzo ya Uandikishaji Elimu ya Msingi Tz

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Gilly, Oct 9, 2010.

 1. G

  Gilly Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu Wanajamii,

  Nimepokea taarifa kwamba Tz tumepata tuzo ya Uandikishaji mzuri kwenye Elimu ya Msingi na hivi kufanya vizuri kwenye utekelezaji wa malengo ya milenia.
  Ninaomba kama mtu anajua wapi naweza kupata taarifa mzuri kuhusu hili. Kama ninaweza kupata "web site" yenye taarifa hiyo na aina ya tuzo yenyewe.


  Gilly
   
Loading...