Yah: Sherehe ya kumpongeza wenga

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
Baada ya kuwa kocha wa arsenal kwa muda mrefu...na leo ametimiza mechi 1000 akiwa kocha wa arsenal ...


Nataka kujua ile sherehe ya kumpongeza wenga bado ipo!!!??

Tufahamishanee
 
Baada ya kuwa kocha wa arsenal kwa muda mrefu...na leo ametimiza mechi 1000 akiwa kocha wa arsenal ...


Nataka kujua ile sherehe ya kumpongeza wenga bado ipo!!!??

Tufahamishanee
Ipo ila hutaaalikwa
 
Kutokana na hali kuwa mbaya cku ya mechi yaani uwanjani wenga sasa yu mahututi amelazwa hivo sherehe ya kutimiza mechi 1000 ndani ya arsenal hitakuwepo mpaka tena itakapo tangazwa
 
Kama ingekuwa timu ikifungwa magoli mengi inageuzwa bibi harusi, basi juzi Wenger angejiondokea uwanjani na shela nyeupeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…