Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 638
- 607
Kuna hiyo taasisi inayojihusisha na utoaji mikopo kwa waombaji ndani ya masaa 12, lakini hawatimizi ahadi yao, watu wanalipishwa Tzs 4,850 kama kiingilio na ada ya form ni Tzs. 10,250 na pesa zote hizo zinatumwa kwenye airtel money no. 0699 890 806 yenye jina Zeno Mnenuka, msaada mwenye taarifa sahihi kuhusu Nikopeshe Microfinance aufahamishe umma.