Yah:mwaliko wa pasaka

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
S.L.P 2013 IRINGA
26/ 03/2013.

Ndg,
YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASAKA.

Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndg yako wa karibu ni Mtanzania halisi.
NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE SIKUKUU YA PASAKA, Nina uzoefu kula vizuri UBWABWA pasipo kudondosha hata punje... kwa zaidi ya miaka 20 sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…