Napenda kuwaomba mawakili ambao wanasoma makala za kisheria katika jukwaa hili," kuwa, kuna mdogo wangu ana kesi makama ya wilaya ya bariadi ;ni kesi ya jinai; tunahitaji mapema wakili wa kusaidia kumwakilisha na kuendesha kesi hiyo , kimsingi kwa kuwa kesi hiyo ipo bariadi , wakili tunayehitaji atoke mwanza ili kumudu gharama za uendeshaji ;hivyo wasiliana nami mapema kwa namba 0715381371