yah:MSAADA WA KISHERI KUPA WAKILI WA KUENDESHA KESI YA MDOGO WANGU MWANZA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yah:MSAADA WA KISHERI KUPA WAKILI WA KUENDESHA KESI YA MDOGO WANGU MWANZA

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kupelwa, Jun 17, 2012.

 1. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Napenda kuwaomba mawakili ambao wanasoma makala za kisheria katika jukwaa hili," kuwa, kuna mdogo wangu ana kesi makama ya wilaya ya bariadi ;ni kesi ya jinai; tunahitaji mapema wakili wa kusaidia kumwakilisha na kuendesha kesi hiyo , kimsingi kwa kuwa kesi hiyo ipo bariadi , wakili tunayehitaji atoke mwanza ili kumudu gharama za uendeshaji ;hivyo wasiliana nami mapema kwa namba 0715381371
   
Loading...