Yeah umenena vyema Mpwa, kesho nitakua maeneo ya ubungo kusubiria, na wasipojitokeza naandamana mwenyewe ntakua nimevaa Tisheti rangi ya udhurungi na trauza ya chanikiwiti kuonyesha msisitizo! Halafu hawa sijui wanafikiriaje juzi wametangaza mgao umeisha, kumbe ndio umeongezeka, yaani hadi maeneo ambayo ulikua haukatiki mwanzoni! jana umekatika saa nne usiku hadi asubuhi naondoka home hakuna umeme tena eneo la jeshi! Pambaf kabis