Yah kupotelewa na mke.

We we we we.... kumbe ndo zako!?? Wewe si uliniletea habari kuwa Loya amekutupa hivyo unaenda kwa Excel..!?? Na Lady doctor akaweka saini.!??

well well well!!

i was looking for you vere vere much!!

somebody has interrupted my mood since morning! mimi ndio right owner wa Passion Lady!!

nina hati miliki zote kuanzia moyo wake mpaka lipsi zake!! wonder how now she change herself like a chameleone!!

early in the morning.. nimegongewa mlango na mtu nisiyemfahamu!! kajitambulisha kwa jina la rutta.. sijui nini! too much blah blah! and he claim to own my angel, Passion Lady!!

now infront of you........ we need the truth! who is the right owner of Passion Lady? if not me?

please Lady doctor, bring your guts here!!
 
Last edited by a moderator:
Alaf sijui kwanini Baba V ana muacha Lady doctor na Excel wana vunja sheria za ndoa chit chat?

Kwa mujibu wa taratibu za ndoa toleo la November 2013 inaweka bayana kuwa mwanandoa yeyote anaruhusiwa kuamua kusitisha uhusiano pale anapoona mwenzi wake haeleweki, kifungu kidogo cha tatu katika parandesi kinampa ruhusa mwenyekiti kumuozesha mwanandoa huyo kwa mtu mwingine ambaye ni chaguo lake.. Na hizi taratibu zina saini yako.
 
Last edited by a moderator:

honey si unajua wewe na pacha
wangu mlikua na bifu b4,wala usijali
nitamuweka sawa tu!!

mi nimeshamsamehe pacha ndo maana namueleza ukweli shem hana swaga na hajui kutunza mke...... Kuna usemi usemao kuwa anaekueleza ukweli anakupenda, mie nampenda shemeji yangu ndio maana namuambia ukweli
 
Last edited by a moderator:

chezea maloveeee weye!
 
Last edited by a moderator:

Oh man, i am sorry for that..... Alright, calm down relax start breathing aya yaoge maana umesha yavulia nguo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…