Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Nakuambia this tym hupati ming'oko wala dagaa alizoleta nduguyo,jishaue tu
Akanana + Ruttashobolwa- Excel = familia
Sijakukimbia swr hat,nipo hapa ila nimevaa kininja nisijulikane ndio maana!
honey mambo,nimebadili muonekano msijenitoa meno ya sebleni,mic u beibe
Ni wiki tatu zimepita toka my akanana apotoweke.
Niliona si vyema kutoa taarifa mapema kwa Polisi ben kabla ya kuanza kumtafuta.
My akanana ni pacha wa Lady doctor,nimemuuliza anasema hawaja wasiliana siku nyingi sana.
Nilibeba ming'oko, korosho na pweza wa kuchoma kutoka nanjilinji nimfanyie suprise my akanana lakini sikumkuta.
Nilipata habari my akanana alionekana sehemu fulani na shemeji yangu sosoliso hadi sasa siamini kama sosoliso ana muacha Paloma na kumtorosha my akanana.
Mwenyekiti wa mahusiano Baba V nime kujulisha hili unisaidie maana sijui la kufanya maana mimi siwezi ishi bila my akanana.
Kwakweli my akanana popote ulipo jitokeze maana......
sasa who is the owner? you or rutta?
nyie ndio huwa mnaharibu ndoa za watu!!
sasa aliyekuambia uingie kwenye ugomvi usioujua ni nani??
see now you dont even know the right owner.. yet you suggest the owner!
ndoa imekushinda waanza leta visiongizio visivyo na meno wala ulimi
hivi ujui kuwa kuna uongozi mpya safari hii
wewe muulize vizuri shem wako Lady doctor ndiye mwenyekiti wa mmu, cc pia
halafu toa taarifa kwa mkuu wa wilaya asprini atawaambia jeshi lake la polisi w
waaanze kazi ya kumtafuta huyo akanana wako ila tambua kuwa chimbuvu
alisema kuwa anakwenda arushaone kumkabidhi funguo za liverpoolfc kwani
alipigwa bao na arsenal jana na kupachikwa 7-1 na sasa hajitambui amekuwa :a s-confused1:
miss you a lot my dear...! unajua nilitoka kidogo kuangalia financial standing ya kampuni yetu mpya,
for sure tumefanya auditing na naona mambo yanaenda vizuri kabisa, now our kids will go to IST!
by the way, you have to propose a new car for this year! si unajua tena sie hatukai na gari kwa mwaka mzima!
love you a lot my heart beat!
why are you fearing facing me? what kind of man are you?
...and you Passion Lady, simpendi mwanamke asiye na msimamo! this rutta is like sobibo! escapeeee!!!!
if you wont do it... i will do you all..!
Hivi wewe mbona una nitafuta sana?
the right owner is ruta...heheheh
sorry thou