​nipo hapa switat!!uko wapi sasa?
ona pressure inapanda inashuka, nilikwambia nikulindie ukagoma ....
Shem , huu "ushabick mandazi" umeunza lini ? Yaani umechapuka kama mgambo wa mnada mkuda mpenda misifa! Anaekomalia hata risiti ya kuku mmoja!
Mkuu mimi sihusiki, ila vyovyote iwavyo kosa ni la mume mwenzangu Ruttashobolwa kusafiri bila kumpa taarifa shem wangu Passion Lady.
Wewe nawe kusoma hujui basi hata picha huoni..? princess enny anaulizia kiaina hebu kata mti panda mti bana..
cc Passion Lady..
i love you beibe
Judgement umeona anacho nifanyia Lady doctor?sikutegemea.
Aiseeee!uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!Katonda wange.......nla kola khii?Mukama wange! Does'nt enough ! Plus na , Katonda wange!
Kwa hali nilipoiona imefikia .
Ni hivi Loya , siku zote nimekua nakwita "my right hand!"
It means you're my nearest person! Kuzingatia huko tulikotoka!
Majuzi kati hapahapa cc nilifumania eneo flani , na Passion Lady na Bwa mdogo anaekwenda kwa Id Excel nikakuta wanabadilisha love soothin words , obviously nilishtuka .
Eventhough (damu nzito kul.....) sikukubali hali ile niiachie kiuwepesi, nililazimika kuhoji kwa P'lady, majibu aliyonipa inshort yalikua "makavu live"
"Jamaa yako alishanitosa , sijui alihamiaga Siasani, hivyo naongeza ndoa ya pili , nitakua na waume wawili, na huyu mume mpya nampenda sana!"
Hayo ni baadhi ya majibu aliyonipa .
My righthand domo lilinishuka .
Kilichobaki tumsubiri mwenyewe atakuja hapa na kauli gani .
Coz mi bado naamini alikua akifanya mzaha na jockes , she was not serious as well .
...Hilo ni changa la macho...
​mhhhhhh!!!Aiseeee!uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!Katonda wange.......nla kola khii?
Ati nini?
...kumbe Excel ndo anakufundisha vikoba siku hizi.lol
We mwana nke, we mwana nke wewe
hapana. Hakuna sheria ya ndoa chit-chat inayo ruhusu ndoa juu ya ndoa.
Alaf huyo Excel ngoja kwanza.
i love u beibe!!
Mkuu mimi sihusiki, ila vyovyote iwavyo kosa ni la mume mwenzangu Ruttashobolwa kusafiri bila kumpa taarifa shem wangu Passion Lady.