YAH:kumkaribisha member ''GENERATION-Y'' ndani ya I.S.C

Hebu niambieni, leo kikao wapi cha kumkaribisha mwanachama mpya? Angalizo....Nimeshapata kampani ya Wise the Lady!
muhazini,
vipi akaunti zako zinasoma nini huko???
tunaweza kutana sinza huko for some few bottles?
 
Well don the king! Risiti nshamkatia!

Kuna wawili wameomba kajaza fomu ya kujiunga na chama: Wiselady na Queenkami. Naomba wafikiriwe na uwasaidie kupata udhamini!
Khe Khe Khe! Asprin tafadhali usiongeze maudhi yale ya jana yanatosha,kwanza sina vigezo as per const'
 
Well don the king! Risiti nshamkatia!

Kuna wawili wameomba kajaza fomu ya kujiunga na chama: Wiselady na Queenkami. Naomba wafikiriwe na uwasaidie kupata udhamini!

haha asprin si wewe ulisema nikushauri jinsi yakung'atuka huko ISC sasa unapotosha uma kwakugeuza maneno.
yale machupa ya jana bado hayajakutoka kichwani ndo mana nakusamehe bure.
 
Khe Khe Khe! Asprin tafadhali usiongeze maudhi yale ya jana yanatosha,kwanza sina vigezo as per const'
kuna namna ambayo wewe na mj1 MTAINGIA MOJA KWA MOJA kwa ajili ya maslahi ya viongozi....!
so,i believe hilo ni swala ambalo tukikaa mezani na kukubaliana nalo basi tunaweza fanya kitu fulani mkawa membaaz
 
jaribu kuongea na BODI YA UDHAMINI ili tuone kama tunaweza kutana jioni ya leo kusherehekea mafanikio yetu

Ishu ndogo sana hiyo....meeting set...destination; sinza....time;from 1700 till who knows....
 
haha asprin si wewe ulisema nikushauri jinsi yakung'atuka huko ISC sasa unapotosha uma kwakugeuza maneno.
yale machupa ya jana bado hayajakutoka kichwani ndo mana nakusamehe bure.
inategemea sasa ni muda gani mlikuwa mnawasiliana/mnachat hilo swala....!kunaweza kuwa na sababu nyingi sana ikiwa ni pamoja na:
1-ALISEMA HIVYO ILI KUJIHAKIKISHIA NJIA YA KU-DU ZE NIIDFUL
2-huyo asprin ni kama vairas...i mean anabadilika,kuna wakati anaongea yeye(ambapo huwa mwanachama hai wa infidelity),na kuna wakati ZINAONGEA VALUU....(hasa hasa kama utaongea nae baada ya saa 9 alasiri
 
kuna namna ambayo wewe na mj1 MTAINGIA MOJA KWA MOJA kwa ajili ya maslahi ya viongozi....!
so,i believe hilo ni swala ambalo tukikaa mezani na kukubaliana nalo basi tunaweza fanya kitu fulani mkawa membaaz
Kuna mission nimeagizwa na smiles kuitekeleza sasa sijui nitapewa muda wa faragha na baadhi ya member ila kwa awamu
 
jaribu kuongea na BODI YA UDHAMINI ili tuone kama tunaweza kutana jioni ya leo kusherehekea mafanikio yetu
ningependa kuwakumbusha kuwa, Audited financial report iliyotumwa kwangu imekubaliwa. mnaweza kuleta mchanganuo wa shughuli za miezi mitatu ijayo ndani by end of the day today.
 
Nihakikishie kutoingia chumbani faragha
nakuhakikishia hutoingia chumbani...(HAPA NAONGEA KAMA KING-CEREMONIAL AND ETHICAL LEADER WA INFIDELITY)....

chumbani hutaingia kabisa,utaingia vyumba vya kulala wageni(GUEST HOUSE)
 
TEAMO, KIMEY hebu mtu mmoja atoe angalizo la sehemu ya kikao leo kiwe wapi?
Jamani mbona kimey alinihakikishia kuwa si mwanachama tena na tumepanga mambo mazuri tu na yeye au uko kny historia?no longer a member:A S 103::A S 103::A S 103:
 
ningependa kuwakumbusha kuwa, Audited financial report iliyotumwa kwangu imekubaliwa. mnaweza kuleta mchanganuo wa shughuli za miezi mitatu ijayo ndani by end of the day today.
ahsante sana muheshimiwa ''low-assassin''.....

kwa mchakato huo basi naomba katibu kokote uliko uchek na bodi ya wadhamini mkimuhusisha muhazini ili tuone itakavyokuwa
 
Jamani mbona kimey alinihakikishia kuwa si mwanachama tena na tumepanga mambo mazuri tu na yeye au uko kny historia?no longer a member:A S 103::A S 103::A S 103:

Kwa maneno wakati mlipokuwa mnapata valuu ila najua kwakuwa haiko kwenye makaratasi basi Kimey bado ni mwanachama hai amelipa ada yake hadi december 31
 
nakuhakikishia hutoingia chumbani...(HAPA NAONGEA KAMA KING-CEREMONIAL AND ETHICAL LEADER WA INFIDELITY)....

chumbani hutaingia kabisa,utaingia vyumba vya kulala wageni(GUEST HOUSE)
Give me a break pliiiiz!mbavu zangu zinauma.Sasa ukiwa kama mfalme mimi nashauri iwe cocktail party maana kutakuwa hakuna haja ya kuingia nymba ya kulala wageni,ukizingatia nitakuwa sina usingizi
 
Kuna mission nimeagizwa na smiles kuitekeleza sasa sijui nitapewa muda wa faragha na baadhi ya member ila kwa awamu
Time table:
17:30 - 19:30 - Bigirita
19: 30 - 20:30 - Asprin
20:30 - 21:30 - Teamo

hawa watakuwa wametosha kwa leo.

Kesho:
10:00 - 18:00 - Pope Kaizer.
Itakuwa imetosha.

wengine mtaamua ratiba kwa PM
 
Huyo Generation Y hatoki tu huko aliko kuja kutoa ushuhuda wa infi? Nataka kusikia atasema nini
 
Time table:
17:30 - 19:30 - Bigirita
19: 30 - 20:30 - Asprin
20:30 - 21:30 - Teamo

hawa watakuwa wametosha kwa leo.

Kesho:
10:00 - 18:00 - Pope Kaizer.
Itakuwa imetosha.

wengine mtaamua ratiba kwa PM[/QUOTE

Asprin nimeshamaliza nae nimemwacha chumba cha f
aragha so rekebisha ratiba,bila kusahau venue ni Church ofisi ya councelling na maombi]
 
Back
Top Bottom