YAH:kumkaribisha member ''GENERATION-Y'' ndani ya I.S.C

Vyupa bado vipo vichwani, Teamo, Asprin mmekumbuka kuzimua kweli??? hili tatizo ni kubwa kama bado maana linazidi kuwa cost.
 
Kweli leo naona wanachama wetu wanafanya research za kutosha maana naona POSTED VIA MOBILE zinahusika sana humu ndani leo
 
Mpwa.....hebu nipe feedback manake najua jana walau....LOL

Unajua mpwa jana tulikuwa tulikuwa tunafanyia implementation maneno ya mkwere ya kuigeuza kigoma kuwa dubai na mwanza kuwa california tuone kama tunawezakuweka base zetu huko
 
HEHEHEHE!
muzee umeingia moja kwa moja kwenye ujumbe wa BODI YA WADHAMINI!....
wewe ndo ''LOWASSA'' wa chama
kamata valuu na 8.6 mbili, then tumwendee hewani Finest atupe majibu kuhusiana na rule 3....si amekwenda kumfanyia practical intavyuu yule mpinzani mkuu?
 
kamata valuu na 8.6 mbili, then tumwendee hewani Finest atupe majibu kuhusiana na rule 3....si amekwenda kumfanyia practical intavyuu yule mpinzani mkuu?
hehehe!ni kweli kabisa ndugu mdhamini!....

lakini pia.allokesheni ya mafungu ya risech,utafiti na praktiko experience yanategemea sana namna wadhamini mlivyojipanga na kuamua!....maanake kijana kama ze fainest anaweza chagua sehemu ya kufanyia field kama white sands....:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Hebu niambieni, leo kikao wapi cha kumkaribisha mwanachama mpya? Angalizo....Nimeshapata kampani ya Wise the Lady!
 
Updating records....updating....
Ok updated....
new member generation y....
jaribu kuongea na BODI YA UDHAMINI ili tuone kama tunaweza kutana jioni ya leo kusherehekea mafanikio yetu
 
Back
Top Bottom