Yafahamu mataifa ya Afrika yanayotumia wanyama na ndege kama nembo ya taifa (Wanyama wa taifa) Make

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nchi ya Angola ina mnyama wa taifa na ndege wa taifa, huitwa Magnificent Frigatebird na swala. Ndege huyu ameitwa hivi kutokana na hadithi ya usawa ya - the Man O'War.

Ameitwa hivyo kutokana na ukimya wakati wa kuruka, kasi na tabia yake ya kuiba nyama kutoka mwa ndege wengine. Swala mweusi nchini Angola wako katika hatari

Angola.jpg
 
Mnyama wa taifa wa nchi ya Lesotho ni faru mweusi. Makazi hatari kwa mnyama huyu yalikuwa ni mashariki na katikati mwa Africa. Faru sasa wana maisha magumu nchini Afrika Kusini kutokana na uhitaji wa pembe zao kwa madai ya dawa za asili ya kichina.

Lesotho.jpg

Hivi karibuni raia mmoja wa kigeni amehukumiwa kifungo cha miaka 40 jela kwa kosa la uwindaji haramu wa faru. Faru anachukuliwa kuwa na kinga ya asili kutokana na ngozi yao nyembamba, ukubwa na pembe – kuwafnya kuwa alama ya taifa.

Make Money Online : AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.
Make Money Online : AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.
 
Madagascar.jpg

Mnyama wa taifa la Madagascar ni komba bukini, mbegu ya pekee ambayo inapatikana katika kisiwa hicho cha barani Africa pekee. Komba bukini wanaaminika kuwa wamekuwepo kisiwani hapo kwa miaka 65 million iliyopita.

Wanyama hawa wapo katika hatari ya kutoweka kutokana na tabia ya uwindani na usafirishaji. Komba bukini hutumiwa sana na watu wanaosoma nadharia ya mabadiliko kutokana na upekee wake.

Make Money Online : AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.
 
Nigeria na Ghana Tai ni chaguo lingine maarufu, kwa nchi kadhaa kuchagua tai au tofauti yake kuwa mnyama wa taifa. Hii inajumuisha nchi za Misri na Mauritius hutumia tai wa rangi ya dhahabu, Nigeria na Ghana tai na nchi za Sudan Kusini na Zambia hutumia tai-samaki wa kiafrika.

Nigeria+and+Ghana.jpg

Tai hujulikana kutokana na kasi yao na size, na nafasi yao ya uwindaji katika ulimwengu wa ndege, hii huwafanya kutumika kama alama ya taifa. Tai wa kike katika vizazi vyote huwa wakubwa zaidi kuliko tai wa kiume. Ni alama ya taifa katika mataifa mengi kama vile Marekani, Ujerumani, Albania, Hispania na mengineyo mengi.

Make Money Online : AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.
 
Mnyama wa taifa la Rwanda ni Chui wa kiafrika. Chui huyu wa kiafrika anajulikana kutokana na vidoti (mara nyingi hukosewa na kuitwa madoa). Pia upo uwepo wa chui weusi.

Rwanda.jpg

Hupenda kuishi katika maeneo ya milimani, misitu mikubwa ya mvua na sehemu ya jangwa na hupenda kula chakula kingi pale wanapokipata. Wako katika hatari ya kutoweka kutokana na ushindani na binadamu juu ya makazi na majangili na huwa wakiwindwa.

Make Money Online : AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.

Make Money Online : AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.
 
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina aina ya pekee ya mnyama wa taifa ajulikanaye kama okapi. Wanyama hawa wadogo wanaonekana kufanana na twiga (mnyama anayeonekana kufanana naye sana) na pundamilia (kutokana na marakaraka). Okapi wana ndimi ndefu za rangi ya bluu, ndimi hizi ni ndefu na huzitumia kuangalia masikio yao. Wanyama hawa hawapo katika hatari yoyote, ingawa, wanahitaji sehemu kubwa ya kususurika/kuzurura na sasa wanatishiwa kuwindwa na kuharibiwa kwa makazi yao.

DRC.jpg

Make Money Online : AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.
 
Ethiopia na Liberia Simba ni chaguo katika mataifa haya kuwa mnyama wa taifa tofauti na tai mkubwa. Simba ni mnyama mkubwa anayeishi katika jamii yap aka baada ya tiger, wana upeo na ni muwindaji mzuri katika maeneo yao ya asili. Wanaweza kupatikana katika maeneo ya jangwa la sahara barani Africa na bara la Asia. Simba inasemekana kuwa adimu huku ikisemwa kuwa, namba yao inapungua katika maeneo ya mashariki na kusini mwa kwa 30-50% katika kipindi cha miaka 20 iliyopita kutokana na kuiliwa makazi yao na binadamu. Vizazi kadhaa vya simba vimekuwepo tangu zamani sana. Nchi nyingine ambazo humtumia simba kama alama ya taifa ni Ubelgiji, Luxemborg, Uholanzi, Singapore na nyinginezo.
Ethiopia+and+Liberia.jpg

Make Money Online : AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.
 
Mnyama wa taifa la Botswana ni pundamilia, marakaraka ya farasi. Pundamilia hutofautiana kwa sababu ya marakaraka yao na sababu kwamba hawakuwahi kufugwa.
Botswana.jpg

Kuna nadharia kadhaa zinazoeleza ni kwa nini pundamilia wana rangi ya namna hiyo.wanapatikana zaidi katika maeneo ya mashariki na kusini mwa Africa.

Make Money Online : AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.

Make Money Online : AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.
 
Boko Haram alama ya kikundi chao ni nguruwe pori au ngiri ukitaka. Wanapatikana kwa wingi sana huko Kaskazini Mash. mwa Nigeria mpakani mwa Chad na Cameroon.
 
Boko Haram alama ya kikundi chao ni nguruwe pori au ngiri ukitaka. Wanapatikana kwa wingi sana huko Kaskazini Mash. mwa Nigeria mpakani mwa Chad na Cameroon.
asante sikulijua hili ila ukiweza kudadavua zaidi
 
nafkiri hakuna taifa linatumia fisi au nguruwe kama alama ya utambulisho
 
Nembo ya tanzania ni mnyama CCM mnyama huyu ccm anasifika kwa kubaka demokrasia na wizi wa kura na ukandamizaji, kitu ambacho kinafanya kuendelea kutaiwala tanzania miaka na miaka kikisaidiwa na baadhi ya watanzania mbumbu wanao kipigia kura kila uchaguzi.
73425487e309ef2416f72ddf55dff5ec.jpg
 
aisee kumbe nod hivyo
 
Back
Top Bottom