Yadaiwa CEO alimpa makavu Kanjanja huko Angola akakataa mahojiano

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Wololooooooooo haiya haiya haiya, watetezi wa Kanjanja Senior mnaruhusiwa kuja kuporomosha matusi na kudai nina chuki binafsi.

Kweli ulitarajia mtu ambaye huwa unachukia safari zake na lipstick yake una bifu nayo akuchekee tu kama ndalakyuya, wenye akili walijua hukuwa pale kwa nia nzuri.

Kama habari hii ni ya kweli basi kongole kwako Barbara Gonzalez, jino kwa jino dadeeeki!

kanjanja.JPG
 
Simba wasirudie tena kuambatana na yule kubwa la maadui.
ana watu wake kule ndani wanaomtumia kuzua taharuki na vurugu..subiri simba iteleze kidoogo uone moto wake atakaowasha
Alinishangaza sana kipindi kile kuponda safari za Barabara na lipstick yake, dah na aliongea kwa hisia kweli
 
Wololooooooooo haiya haiya haiya, watetezi wa Kanjanja Senior mnaruhusiwa kuja kuporomosha matusi na kudai nina chuki binafsi.

Kweli ulitarajia mtu ambaye huwa unachukia safari zake na lipstick yake una bifu nayo akuchekee tu kama ndalakyuya, wenye akili walijua hukuwa pale kwa nia nzuri.

Kama habari hii ni ya kweli basi kongole kwako Barbara Gonzalez, jino kwa jino dadeeeki!

GoView attachment 2384594
Let's go with Babra!
 
Mbona majibu yamekaa kizaramo sana hayafananii na CEO wetu.
Kama wamemchomekea hv!!
 
Back
Top Bottom